Majina ya ualimu awamu ya 2 bado ?

Majina ya ualimu awamu ya 2 bado ?

ajira ngumu

Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
64
Reaction score
4
jaman naomben kuuliza wale walioomba ualimu mwez uliopita ambapo ded line ilikuwa dec 30 bdo hayajatoka na mi lin yanaweza kuwa tayr kama bdo mwenye fununu na uelewa atujuzeee jmniii!!!
 
Jamani Nina ndugu yangu aliachwa kwenyeajila ya ualimu akaenda tamisemi akaambuwa asubiri itatoka undo Hii inayozungumziqa hapa au kuna ajira mpya
 
Back
Top Bottom