Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
Acha utaniPumpkin
Mimi mbona nimekuita jina zuri afu wewe uniite pumpkinPumpkin
😅😅😅😅Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
Hiyo Daddy anakuitaga chumban tu nini au wakati wa kutaka maokoto.?Mimi mbona nimekuita jina zuri afu wewe uniite pumpkin
Ushamaliza topic zote za advanced chemistryNianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
mimi nalipenda hilo!Mimi mbona nimekuita jina zuri afu wewe uniite pumpkin
Mume wakeNianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
Hasa jioni nikitoka kupambana ndo huwa ananitamkia pole Daddy sijui hata ina maana ganiHiyo Daddy anakuitaga chumban tu nini au wakati wa kutaka maokoto.?
Physical tayariUshamaliza topic zote za advanced chemistry
Hunitendei hakimimi nalipenda hilo!
Mazito!Hunitendei haki
Umeanza na states of mater au thermochemistryPhysical tayari
Una raha sanaHasa jioni nikitoka kupambana ndo huwa ananitamkia pole Daddy sijui hata ina maana gani