Majina ya utani kwa wenza wetu, je huwa unamuitaje?

Sina utani naye.
Namuita jina lake la ubatizo Ashura bin Jamhuri ambalo ndilo lipo kwenye cheti cha mkataba wa ndoa.

Na yeye huwa aniita Wanzubi Bin Mkangaffu.
Tukishaita hayo majina wenyewe tunacheeeeka hadi basi.
 
Kwa akili hizi ccm itaendelea kusalia madarakani milele. Mfikishieni taarifa katambi kuwa Lucas Mwashambwa ndiye adui mkubwa wa taifa.
usigande akili bro siasa ni sehemu tu ya maisha sio kilakitu kiasi kwamba tushindwe hata kushare mengne kwahy unataka tukiamka asubuhi topic iwe lisu mchana lisu jioni lisu usiku lisu khaaaah! Em pita kushoto bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…