Bila kusahau mwaukoli, mwabuzo, mwakaluba, mwashata, mwashagata, ntindwabiye, migato
Bila shaka mu wazima tu.... Kuna majina ya vijiji yanachekesha sana.. Kuna kijiji kimoja kipo mkoa wa Ruvuma kinaitwa mpitimbi, hili Jina limekaa kimzaha mzaha sana na linachekesha balaa. Hebu tupia Jina la kijiji linalokuchekesha....
Matombo- Moro
Nanguruwe - Mtwara
Nakapanya - Mtwara
Soya- Ulaya Ulaya - KONDOA
kumamoto
Pumbujeupe-Kwimba, msengendala-ukerewe, nyegekulana-Sumbawanga, Itombija-miungwi