Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
Saghana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwembe mawazo-tangaMwembe ningoje - Mtwara
Mwembe tayari- Mtwara
Kwa jambazi -KONDOA
Shagihilu,Itobanilo Muhida,Jihu,Seke Seke,mwamitumai,Tindabuliga,Longaloniga,Iponanabholo-Mwandoya,Kizungu,Mwabusalu,Mwandu itinje,Mwandu Ikigijo,Mwabaraturu,mwabomba,Budalabujiga,Gambasingu,Ngofila,
Shagihilu,Itobanilo Muhida,Jihu,Seke Seke,mwamitumai,Tindabuliga,Longaloniga,Iponanabholo-Mwandoya,Kizungu,Mwabusalu,Mwandu itinje,Mwandu Ikigijo,Mwabaraturu,mwabomba,Budalabujiga,Gambasingu,Ngofila,
MSOGA.. Huwa nikisikia hiki kijiji nachoka kabisa. Sababu nazijua mie
Bila shaka mu wazima tu.... Kuna majina ya vijiji yanachekesha sana.. Kuna kijiji kimoja kipo mkoa wa Ruvuma kinaitwa mpitimbi, hili Jina limekaa kimzaha mzaha sana na linachekesha balaa. Hebu tupia Jina la kijiji linalokuchekesha....