Majina ya vinywaji vyetu vya asili

ulaka=uraka(mchuzi unaopatikana baada ya kukamua mabibo na kuyaweka chachu) lindi,mtwara na ruvuma(wilaya ya tunduru)
 
Hiyo dengerua ukinywa lazima uharishe sana hapo baa
 
Kuna mkuu kauliza kuhusu kinywaji kilevi cha asili cha wamasai; Jibu ni ndiyo, IPO na huitwa "engotoroki". Hutengenezwa kwa kuloweka asali na mizizi ya mmea fulani jamii ya cuctus au katani kwa mbali. Sukari yaweza kuongezwa. Hulowekwa kwa siku 5 au zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…