Majina ya vinywaji vyetu vya asili

Majina ya vinywaji vyetu vya asili

ulaka=uraka(mchuzi unaopatikana baada ya kukamua mabibo na kuyaweka chachu) lindi,mtwara na ruvuma(wilaya ya tunduru)
 
Majina ya pombe zetu za asili:

Dengelua Hii inapatikana kule upareni
Mbege Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi Kule Iringa
Ulaka Nasikia inapatikana Morogoro
Boha sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, machozi ya Simba, Uzo, Changaa, na haijulikani asili yake ni wapi

Nyingine mtajazia..
Hiyo dengerua ukinywa lazima uharishe sana hapo baa
 
Kuna mkuu kauliza kuhusu kinywaji kilevi cha asili cha wamasai; Jibu ni ndiyo, IPO na huitwa "engotoroki". Hutengenezwa kwa kuloweka asali na mizizi ya mmea fulani jamii ya cuctus au katani kwa mbali. Sukari yaweza kuongezwa. Hulowekwa kwa siku 5 au zaidi.
 
Back
Top Bottom