Majina ya vitabu vinavyowabadilisha watu maisha yao kifedha ni hivi hapa, 2018 inakusubiri kwa mafanikio

Gud bro
 
Kusoma hivo vitabu na kuvitafsiri kuwa kiswahili ni fursa ya kutengeneza pesa ndefu lakini watu wanajilaumu kuwa wamesoma lakini hawapati ajira
Ndugu yangu wee , ufanye kazi hiyo utegemee itakulipa? Wasomaji watanzania hawa hawa wapenda udaku?
 
Hongera kwa uzi mrua, kitabu kingine ni Biblia
 
sasa si mvimwage hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…