harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Mkuu na mm ninashida navy, mwenye copy pleas!Hivi Kuna baadhi ya watu humu Wana soft copy zake Omba utumiwe kama Email
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na mm ninashida navy, mwenye copy pleas!Hivi Kuna baadhi ya watu humu Wana soft copy zake Omba utumiwe kama Email
Naked, Astro, bibble ila yhe best ni price actionCurrency trading for dummies
Sorry ndugu ungenipa tittle ya uwo uzi ingefaa zaid ili ni search apa fastapitia huu uzi, una vitabu mpaka utachanganyikiwa[emoji2]
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/315875/
Njoo in box nitumie email yako nikutumie vitabuMkuu na mm ninashida navy, mwenye copy pleas!
Unacho hiko mkuu?Currency trading for dummies
Tutumie mkuuSecrets of millionaires Mind.ni kitabu changu bora kabisa.
Ungewashauri nini wanaojua kutafsiri?Kusoma hivo vitabu na kuvitafsiri kuwa kiswahili ni fursa ya kutengeneza pesa ndefu lakini watu wanajilaumu kuwa wamesoma lakini hawapati ajira
Gud broKama uzi unavyojieleza vitabu vinavyowabadilisha watu na maisha Yao hi hivi,
think and grow rich,,
retire young retire rich,
the millionaire,
rich Dad poor dad.
Kama na wewe una vitabu vingine tusaidiane kuviorodhesha hapa tuvisome,Kwa msaada.
Ndugu yangu wee , ufanye kazi hiyo utegemee itakulipa? Wasomaji watanzania hawa hawa wapenda udaku?Kusoma hivo vitabu na kuvitafsiri kuwa kiswahili ni fursa ya kutengeneza pesa ndefu lakini watu wanajilaumu kuwa wamesoma lakini hawapati ajira
sasa si mvimwage hapaKuna vtabu vingi tu nimevisoma lakini the best ever kwangu ni
THE MILLIONAIRE FASTLANE
NA
UNSCRIPTED : Life,liberty and pursuit of entrepreneurship
Yani ukivisoma hivi/ukaskiliza audio books ...utathink na kuact different
PIA TUKUMBUSHANE, READING PEKEE HAITOLETA MAFANIKIO, Bali ACTION/PRACTICE za ulichojifunza EVERYDAY
Wish u all successful 2018
Namimi naomba mkuuNjoo in box nitumie email yako nikutumie vitabu