Majina ya Vitongoji vya Dar yenye vibwagizo amaizing

Majina ya Vitongoji vya Dar yenye vibwagizo amaizing

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Mfano:
-Tegeta kwa Ndevu
-Buza kwa mama K
-Tandale kwa Tumbo [emoji16][emoji51][emoji23]
Haya twende sasa.......
 
Manzese kwa mama mfirano!
Manzese Kwa mfuga Mbwa!
Tandale kwa bibi Nyau!
Tandale kwa Mkunduge?
 
mbezi kibanda cha mkaa

Mbezi Kwa Msuguri

Boko Basi Haya

Popo Bawa (Tandale)

Keko Mwanga

Keko Magurumbasi

Keko Machungwa

Tandale kwa Mtogole

Kunduchi Beach

Sinza Kijiweni

Sinza Makaburini

Buguruni Malapa

Kimara Temboni

Kimara Stopover

Ukonga Banana

Segerea kwa Bibi

Kigogo Fresh

Kigogo Sambusa

Manzese Argentina

Sinza Palestina

Magomeni Mapipa

Mbezi Tangi Bovu

Kimara Matangini

Mbezi Jogoo
 
Yombo Vituka kwa limboa - kuna mtaa wa MUACHE APOTEE na mtaa wa MASIZI
 
Back
Top Bottom