Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

mtongani,mwembeni,mbuyuni,migomigo,mzambarauni...............
 
umenikumbusha vya barabara ya mlandizi

kwa mfipa,kwa mbonde,picha ya ndege,madafu,kongowe,kwa matiasi,maili moja
1. Manyanya
2. Studio
3. Popo Bawa
4. Kwa mtogore
5. Jangwani
Endeleaaa.......
 
Gongolamboto
pugu kajiungeni
mwisho wa lami
mnazi mmoja
Tazara
Buguruni
Posta
Dondwe.......................endeleeeni mpaka ziishe.
 
kwa bakhresa, na nadhani ndo kituo maarufu kipo sehemu mbalimbali za jiji
 
Buguruni malapa,kwamkunduje,mahakama ya ndizi,urafiki,kajiungeni,mwisho wa nyodo(makaburini) n.k
 
Hivi vituo vilivyotajwa vinazungumzia maeneo anayoishi muhusika au anapopenda kutembea. Its very easy to get someone here. Mfano; Umeficha ki -ID chako, mtu akawa anasuspect huyu atakuwa fulani, kisha anaanzisha kutaja vituo vya daladala au mtaa, ghafla unataja...........
 
Masaki: Ubalozi,Kaunda, shule(o/bay)
Mikocheni: kwa Warioba
Sinza: kwa Remmy, Kumekucha
 
Makaburini (Kinondoni)
Mivinjeni (Kilwa Road)
Rangi tatu (mbagala)
Kwa mfuga mbwa
Madukani (Chang'ombe)

Bila kusahau Msaada kwenye tuta
 
(Mbezi louis),maramba mawili,kwa yusuf,msumi,kwa liperanya, (kawe):ukwamani,kwa wamasai,(mbagala),kizuiani,charambe,zakhem,chamazi.
 
Back
Top Bottom