Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

lugalo, kawe bondeni, kwa komba, tanki bovu, samaki, afrikana, kunduchi, tegeta, tegeta kibaoni, nyuki, nyaishozi, dawasa, basihaya, msikitini, boko ccm, boko dovya, bunju 'a'........
 
heheheheeee watoto wa chuo utawajua. enzi zile kulikuwa na kitui ch Silent Inn.....au kibongobongo Sailentini.....bila kusahau pale Vinyago

Ha ha...nakikumbuka kituo cha Silent Inn, sijui ilifia wapi!!...Siku hizi pale kona ya sheli imekuwa mlimani city!!..kumbe na wewe mtoto wa chuo🙂))
 
Ha ha...nakikumbuka kituo cha Silent Inn, sijui ilifia wapi!!...Siku hizi pale kona ya sheli imekuwa mlimani city!!..kumbe na wewe mtoto wa chuo🙂))

Pale Sheli wamezungushia uzio siku hizi bana. Au sijui wameshaivunja.....kuna mtu alinambia wanataka kuivunja
 
1. Mugabe
2. Africa Sana
3. Namtava
4. Namchichi
5. Kiembe Mbuzi
6. Yombo kwa Abiola
 
mbuyun milangosaba kwa stivin getjjeusi ..,huku ni kigambon
 
Kona
novo
paradiso
kwa mgogo
kwa bondia
kwa mlacha
johnscorner
unyamwezini
CHADEMA
UTAWALA
GETIMAJI
KWA URASA
TUNGI
 
Bila kusahau kituo maarufu ambacho kipo popote pale

Msaada kwenye Tuta
 
Pugu Kajungeni
Buza kwa Lulenge
Sayansi
Moroco
Manyanya
Biafra
 
Ferry
Kwa mwinyihamis
tungi
kishiwani
vijibweni
kwa zakaria Kigamboni hiyo
 
Moroco Hotel
Magomeni Mapipa
Kigogo Mbuyuni
Kigogo Randabar
Kigogo mwisho
Firstinn
Madoto Mburahati
 
Sokoni-boma,amana,bungoni,malapa,sokoni,chama,tazara,mchicha,vingunguti,chadema,bombom,kijiwe samli,kipawa,ndege,majumba Sita,banana.......!!!!!!
 
Jet
kwa gude
matembele
sheli
madukani
relini
lumo
kwa limboa
 
Back
Top Bottom