Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Masika
Cotters
Moshi bar
Mzambarauni
Banana
Majumba sita
Kipawa
Mchicha
Scania
Ngozi
Sigara.
 
kwa mrombo, kibanda maziwa, kwa iddi, kwa mrefu, chekereni, tanga kona, mombasa, ngulelo, mabauda, soko mjinga, oystabay, kona ya mabauda, kona ya nairobi, florida round about, posta meru, kanada, dukambovu, chama
 
Mangumi...
Kiko Tabata, kati ya Darajani na Sanene.

Think Wisely Before Posting a Comment,.. You're being watched!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utapimwa kojo.. Lazima upimwe kojo wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huo ni uchochezi
ukienda chato"shusha kwa Sizonje" utasikia tu kwa daladala
 
1. Manyanya
2. Studio
3. Popo Bawa
4. Kwa mtogore
5. Jangwani
Endeleaaa.......

Nimeipenda hii..
Naomba tuongezee na ruti kwa faida ya mizunguko

Mfano vituo route ya:
Mnazi mmoja - Gmboto
.Mnazi1
.goldstar
.darajani
.banda la ngozi
.Mtava
.tazara
.mchicha
.Karakana
.vingunguti
.
.Mombasa
.
.kituo kipya
.
.Gmboto
 
Nimeipenda hii..
Naomba tuongezee na ruti kwa faida ya mizunguko

Mfano vituo route ya:
Mnazi mmoja - Gmboto
.Mnazi1
.goldstar
.darajani
.banda la ngozi
.Mtava
.tazara
.mchicha
.Karakana
.vingunguti
.
.Mombasa
.
.kituo kipya
.
.Gmboto

. Kipawa
. Airport
. Posta
. Majumba 6
. Njia panda
. Banana
*
*
*
*
Ss unaeza endelea na 'Mombasa' n.k hadi gomz...... [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukienda kawe utasikia shusha kwa "Mwinyi" daladala inasimama
 
Barabara ya banana kivule..

Mwailafu, kwa mpemba, bambucha, nyamwezi, matembele ya pili, msikitini, mwembeni, SIRARI, NYANG'ANDU, kivule ccm...
 
hapo ni Kilimanjaro kuna
sadala
stend ya sanya
kia
stend ya gezaulole (ccm)
bombani
mula

hapo ni Dodoma
nzugunu
ihumwa
bahi
 
yombo reli, bombom,kijiwe samli, jeti rumo, teh teh, kabda sijaondoka bongo ilikua vumbi sijui sasa hivi, maeneo ya kiwalani karibu na uwanja wa ndege

Umesharudi Bongo?
 
Huu uzi uliishia wapi, mbona Bagamoyo road imeshindwa kupata wachangiaji wenye akili kuhusu vituo vya daladala kutoka Makumbusho hadi Tegeta?
 
Back
Top Bottom