Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
boro-rombo
Huwa napata mtihani sana kwani kituo changu cha daladala kinaitwa SAMAKI kiko hapa Mbezi Beach
Mara nyingi tukikaribia kufika utasikia konda anauliza Samaki wapo?
Dah, napata mtihani sana kusema TUPO...... (maana infwakiti mimi sio samaki ni mtu)
Je unajua kituo gani kingine ambacho ni "mtihani"?
Hapa kwetu kunakituo katika mto, Mto unaoitwa Mbaji.Lol ukiwa na Mkweo inabidi ushuke kituo kimoja kabla. Pia kunawengine hapa Dar huwa wanashuka karibu na Mto - Mbezi.
Hapa kwetu kunakituo katika mto, Mto unaoitwa Mbaji.Lol ukiwa na Mkweo inabidi ushuke kituo kimoja kabla. Pia kunawengine hapa Dar huwa wanashuka karibu na Mto - Mbezi.
Matombo
Mama john-mbeya
moshi kuna standa ya kwa mbwa haruki mkikaribia kufika konda anauliza wale wa mbwa.
Tandale uzuri barabara inayotoka Sinza hadi Magomeni Moroco kuna kituo kinaitwa Popobawa..., utamsikia konda 'Popobawa mpo??' ukiitikia utaskia 'oya suka muache Popobawa'