Majina ya wa israel

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Ukiangalia mpaka sasa hivi majina ya Wa Israel ni Yale Yale ya kwenye Biblia
Ukisoma Biblia utakutana na majina mengi ya wa Israel. Mfano ni Ehud Barrack, Ariel Sharon, Benjamin Netanyahu, Shimon Peres, Naftari Bennett, David Ben Gurion. nk

Kwa hao wanaosema hawa sio wa Israel ni muongo.
 
Tatizo hawa wa miaka ya leo wengi ni 'mapunga'
 
Basi kama hivyo hata Benjamin Mkapa Muisraeli naye.

Si majina yaleyale tu?
 
hoja ni ulokole au hoja ni hao ni wayaud kwel au laah ?
Zote ni hoja.

Mtu kuitwa Benjamin Netanyahu sio ushahidi kwamba huyo mtu ni myahudi.

Mimi kuitwa Muhammad Ally hakunifanyi niwe mwarabu.

Unaweza kuitwa Ben Gurion na usiwe myahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…