Majina ya waalimu wa diploma wanaotakiwa kwenda jkt

jaman lini tunakwendaaaaa??????????????????????
 
hivi ni nini umuhimu wa jkt katika mfumo wa kipebari je ni kutengeneza hofu,kjenga uzalendo,kumfanya mtanzania hususani waalimu kuwa wavumilivu na uonevu wa viongozi wa serekali dhidi ya maslahi yao au ni mdudu gani ?huu ni ujinga na mawazo ya kijinga kabisa hakuna uzalendo utakao jengwa kwa njia hii bali ni upotevu wa rasilimali na muda tu na pia ikumbukwe idadi ya wasomi nchi hii ni mdogo sana ukilinganisha na idadi ya wasiosoma yaani watu au vijana walioko mtaani tu bila kazi ambao ndio hutumika katika mapinduzi rejea misri tunisia nmezitaja tu kwa uchache kwahiyo ushauri wangu kwa serekali ni kwamba vijana wanaopaswa kwenda jkt ni hao walioko mitaani bila kazi na sio wasomi ambao wameshaona muelekeo wa maisha yao!!!
 

umezungumza jambo makini sana,mpaka sasa kuna walimu wapya hajapewa pesa halafu mtu anataaluma anahaja gani ya mafunzo,wapeni vijana wasio na kazi ili wapate ujasiri wa kupata kazi,hili jambo limekaa kisiasa sana,lishindwe kabsaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…