Madege
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 530
- 109
Waalimu wa diploma nao wanatakiwa kupata mafunzo ya jkt ili kujua umepangwa wapi tembelea hapa WALIMU-DIPLOMA KWENDA VIKOSI MBALIMBALI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ni nini umuhimu wa jkt katika mfumo wa kipebari je ni kutengeneza hofu,kjenga uzalendo,kumfanya mtanzania hususani waalimu kuwa wavumilivu na uonevu wa viongozi wa serekali dhidi ya maslahi yao au ni mdudu gani ?huu ni ujinga na mawazo ya kijinga kabisa hakuna uzalendo utakao jengwa kwa njia hii bali ni upotevu wa rasilimali na muda tu na pia ikumbukwe idadi ya wasomi nchi hii ni mdogo sana ukilinganisha na idadi ya wasiosoma yaani watu au vijana walioko mtaani tu bila kazi ambao ndio hutumika katika mapinduzi rejea misri tunisia nmezitaja tu kwa uchache kwahiyo ushauri wangu kwa serekali ni kwamba vijana wanaopaswa kwenda jkt ni hao walioko mitaani bila kazi na sio wasomi ambao wameshaona muelekeo wa maisha yao!!!