Selestine Sikinde MbungaJUma kachumbali
Paul rwechungura
Juma Kidishi
Athuman China/Juma China.
Salum Kabunda
mongella ..............................
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta (RIP) na Nadhir Mayoka (RIP). Baadhi ya ninaowakumbuka ni hawa:
Madata Lubigisa
Madundo Mtambo
Morris Nyuchi
Kipanya Malapa
Ikupilika Nkoba
Costa Magoloso
Omari Mswaki
Betwell Africa
Itutu Kigi
Zamoyoni Mogella
Method Mogella (RIP)
Umemssahau mtangazaji mmoja aliitwa Dominick Chilambo...alikuwa akianza na Madata Lubigisa, David Mwakalebela, Abdallah bori, George masatu, john makelele, Fumo felician....dah...ukute ni Pamba Vs Ushirika hizo gonga na alivyokuwa akiutangaza utadhani unaangalia kwenye TV..
Acha mambo ya kizamani, hatujakuomba utukumbushe mambo ya LIBOLO la AngolaMimi wachezaji majina yao hayanikoshi kama inavyonikosha timu ya LIBOLO.....simba wanaijua shughuli ya libolo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums