Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
549
Reaction score
288
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta (RIP) na Nadhir Mayoka (RIP). Baadhi ya ninaowakumbuka ni hawa:

Madata Lubigisa
Madundo Mtambo
Morris Nyuchi
Kipanya Malapa
Ikupilika Nkoba
Costa Magoloso
Omari Mswaki
Betwell Africa
Itutu Kigi
 
Morris Nyuchiiiii?????? Dah very funny....
 
Yanga 70's

1. Elias
2. Kitenge
3. Boi
4. Gobbos
5. Kapera
6. Mahinya
7. Chitete
8. Gesani
9. Kitwana
10. Dilunga
11. Bomba

Coach: Victor Stanculescue
Manager: Shiraz

Hao walikuwa hawashikiki, ubingwa miaka 5 mfululizo.
 
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta (RIP) na Nadhir Mayoka (RIP). Baadhi ya ninaowakumbuka ni hawa:

Madata Lubigisa
Madundo Mtambo
Morris Nyuchi
Kipanya Malapa
Ikupilika Nkoba
Costa Magoloso
Omari Mswaki
Betwell Africa
Itutu Kigi

Umemssahau mtangazaji mmoja aliitwa Dominick Chilambo...alikuwa akianza na Madata Lubigisa, David Mwakalebela, Abdallah bori, George masatu, john makelele, Fumo felician....dah...ukute ni Pamba Vs Ushirika hizo gonga na alivyokuwa akiutangaza utadhani unaangalia kwenye TV..
 
daah!! wakati huo rtd inabamba ile mbaya.enzi hizo ushirika inacheza basi watt mnaambiwa mkae home mnaskiliza mpira redion majina ya watu yakitajwa utafikiri unamjua na tulikariri utafikiri majina ya walimu.
 
Moris Nyuchi alikuwa golikipa, sijui timu gani!!
 
Mimi wachezaji majina yao hayanikoshi kama inavyonikosha timu ya LIBOLO.....simba wanaijua shughuli ya libolo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta (RIP) na Nadhir Mayoka (RIP). Baadhi ya ninaowakumbuka ni hawa:

Madata Lubigisa
Madundo Mtambo
Morris Nyuchi
Kipanya Malapa
Ikupilika Nkoba
Costa Magoloso
Omari Mswaki
Betwell Africa
Itutu Kigi

ugomvi mwiko
 
Wengine ni:
John Makelele 'Zigzag'
Aziz Nyoni Njalambaya
Faustin Kibingwa
Deo Mkuki
 
Fikiri Magoso
Kaunda Mwakitope
Atupele Green
Joram Mwakatika
 
Back
Top Bottom