Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

Acha mambo ya kizamani, hatujakuomba utukumbushe mambo ya LIBOLO la Angola

Wew list yako iko wapi au unashoboka tu?LIBOLO......

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mnakumbuka enzi za kombe la taifa? Kulikuwa na mchezaji mmoja wa timu ya mkoa wa shinyanga alikuwa anaitwa Shinyanga Ngulyati!
 
Mboo Mpenza- belgium 2002.

Huyu jamaa nakumbuka wakati wa World cup ya Korea na Japan kuna wakati alitembelea mji Kumamoto kuna gazeti moja hapa nchini likatoa picha yake na maandishi "MBO NDANI YA KUMAMOTO" I was like 'whaaat..!'
 
sanifu lazaro, 'tingisha'
Fumo felician,
Clement kahabuka,
Fikiri makosa,
Sahau kambi,
Yona kasambale,
Damian kimti,
Hamis gaga rhino,
Nteze john lungu,
Mwanamtwa kiwelu,
John masamaki
WHERE ARE THEY JAMANI?
 
Enzi zile mpira unatangazwa redioni burdani kuliko wa kuangalia laivu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
zamoyoni bestieee!!
unakumbuka miaka ile walikuja ushirika kucheza na timu ya ushirika??

Nakumbuka sana best nilikuwa never miss....nilikuwa ball boy (naokota mipira na kurudisha uwanjani pale ushirika) nikiwa shule ya msingi. Ushirika walikuwa na kocha mmoja Dan Koroso alifundisha soka maridadi sana enzi za kina Bahatisha ndulute, Ofen Martin, Stephen Nyenge, Waziri Ally, Kaunda Mwakiptope, Venance Motto...dah kumbukumbu zinaanza kupotea. Nakumbuka katika msimu mzima wa ligi ni Yanga tu iliweza kuifunga ushirika goli moja, goli lililofungwa na Abeid Mziba kwa kichwa. Timu zote ama ziliambulia sare au ziliondoka na kichapo.
 
Dah!Mmenikumbusha mbali sana wadau enzi hizo Tabora tuna timu yetu ya MILAMBO ikiwa na kundi lake la washabiki wana-zukezuke mselebende.

Ndani kuna wakina

Kuresh Ufunguo,
IDDI na Mrisho Moshi (watoto wa Mzee Moshi TT wa TRC) kaka zake Boban,
kulikuwa kuna Iddi Fifteen,
Banka,
Kilowoko,
Madezi etc....


Ilikuwa Simba na Yanga wakija Alihassan Mwinyi Stadium lazima wakae, dah sijui lini tutaingiza tena timu ligi kuu mkoa wa Tabora.
 
Huyu Abdalah Bori,anafanya kazi kwenye kampuni moja kwa sasa ambapo niko nae karibu sana aliwahi kunisimulia kwamba alikuwa mcheza mpira nikamkatalia kabisa, nimeona anatajwa hapa, kumbe ni kweli. Maana yawezekana enzi hizo nilikuwa mtoto.
 
Huyu jamaa nakumbuka wakati wa World cup ya Korea na Japan kuna wakati alitembelea mji Kumamoto kuna gazeti moja hapa nchini likatoa picha yake na maandishi "MBO NDANI YA KUMAMOTO" I was like 'whaaat..!'

lilikuwa gazeti la dar leo
 
JAMA MBA- yanga
KANU MBIYAVANGA- simba
LINO NDOMBOLO YA SOLO MUSOMBO- simba na mashujaa musica
KABONGO HONORE- yanga
 

Mapou
Yanga - Mbiwa....captained NEWCASTLE UNITED yesterday!


 
Reactions: EMT

Hawa hawakuwa wakali kama akina Jella na Kitwana et al.....
 
Huyu jamaa nakumbuka wakati wa World cup ya Korea na Japan kuna wakati alitembelea mji Kumamoto kuna gazeti moja hapa nchini likatoa picha yake na maandishi "MBO NDANI YA KUMAMOTO" I was like 'whaaat..!'

Acha uzushi, utakula ban kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…