Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Haa! Paul Rwechungula huyu jamaa alikuwa golikipa mzuri sana ndio alikuwa anagombea namba na Madata Lubigisa (baba yake na Lubigisa lubigisa aliyewahi kuchezea Simba) pale Pamba (Tupwisa Mazembe Lindanda wana kawekamo)! Mara ya mwisho kumsikia ilikuwa ni kwenye michuano ya Kombe la Afrika Mashariki ( sasa Kagame Cup) kule Uganda timu ya Pamba ilikuwa inacheza na Sport Villa ya Uganda, nakumbuka Pamba ilipigwa "uchaguzi wa madiwani arusha (i.e 4-0), goli la nne lilifungwa na Majjid Musisi na nilimsikia mtangazaji akisema" Rwechungura is annoyed he is going out of the pitch"... Tangu hapo sijamsikia tena!