Wako wengi, ngoja tuwaite watunogeshee mambo hapa...wapo wakuu kina Balantanda, WABHEJASANA, mandieta, ndetichia, watu8, Amiliki, Makoye , Amavubi, Konaball Raia Fulani, Fidel80, Katavi, El Toro, bila kumsahau Saint Ivuga na wengineo wengi. Nadhani wana kumbu kumbu nzuri za majina ya wachezaji waliokuwa wakitajwa tu inakuwa burudani tosha...
Mimi wachezaji hawa ndo majina yao yalikuwa yananivutia mkuu wangu....Hawa ni pamoja na wachezaji wa Kenya, Tanzania na Uganda pamoja na wachezaji wa mataifa mengine waliowahi kucheza Tanzania....
1. Ikupilika Nkoba
2. Mkama Ntare
3. Wastara Baribari
4. Mbui Yondani
5. John Kanakamfumu
6. Kingsley Malwilo
7. Chachala Muya
8. Joshua Kilale
9. Jimmy Mored
10. Mackenzie Ramadhani
11. Abdallah Mkali
12. Celstine Sikinde 'Mbunga'
13. Kichochi Lemba
14. Doyi Moke
15. George Ssemogerere
16. Hassan Afif
17. Peter Poka
18. Hussein Mwakuruzo
19. Maonwa Mkami
20. Dhikiri Mchumila
21. Ngandou Ramadhan
22. Frank Kasanga 'Bwalya'
23. Raphael Paul 'RP'
24. Mikidadi Jumanne
25. Juma Burhani
26. Steven Mapunda 'Garincha'
27. Michael Paul
28. Clement Kahabuka
29. Innocent Haule
30. Simai Haji
31. Victor John Bambo
32. Abdul Ramadhan Mashine
33. Damian Morisho Kimti
34. Hezron Mauma
35. Issa Athumani Mgaya
36. Kasongo Athumani Mgaya
37. Twaha Hamidu Makali 'Noriega'
38. Bakari Malima 'Jembe Ulaya'
39. Hamza Mponda
40. Kitwana Suleiman
41. Beya Simba
42. Hamza Mponda
43. David Odhiambo
44. Julius Kalambo
45. Maggid Musisi
46. Mustapha Hozza
47. Awadh Gessani
48. Lila Shomari.
49. Issa Sekatawa
50. Hamza Mtono
51. Duncan Mwamba
52. Juma Bakari Kidishi
53. Fikiri Magoso
54. Modorn Malitoli
55. Julian Albertov
56. Nico Bambaga.
57. Hamis Thobias 'Gaga'
58. David Mihambo
59. Ramadhan Kilambo
60. Athumani Kilambo
61. Sahau Kambi
62. Steven Casmir Nemes
63. Maulid Dilunga
64. Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' a.ka DHL
65. Method Mogella 'fundi'
66. Gibson Sembuli
67. Ahmed Amasha
68. Mchunga Bakari
69. Bakari Idd
70. David Mwakalebela
71. Godwin Aswile 'Scania'
72. Stephen Mussa
73. Mbwana Makata
74. Suleiman Mathew Luwongo
75. Juma Pondamali 'Mensah'
76. Riffat Said
77. Ally Bushiri (Kipa)
78. Ally Bushiri (Beki na kiungo wa Pamba)
79. Paul Rwechungura
80. Peter Tino
81. Gebo Peter
82. Razack Yusuph 'Careca'
83. Juma Amir Maftaha
84. Hussein Aman Masha
85. Ally Yusuph 'Tigana'
86. Omary Hussein 'Keegan'
87. Lance Evans Ponera
88. Riffat Said
89. Deo Mkuki
90. Deo Njohole 'OCD'
91. Nicodemus Njohole
92. Spear Mbwembwe
93. Bahatisha Ndulute
94. Manfred Luambano
95. Mohamed Mwameja
96. Patrick Mwangata
97. William Fahnbuller
98. Constantine Kimanda
99. Banza Tshikala
100. Salum Kabunda a.k.a Ninja a.k.a Msudani a.k.a Baba Semeni
Na hapo usikie wakitamkwa na wachezaji wa RTD kama
1. Mshindo Mkeyenge
2.Omary Jongo
3.Dominick Chilambo
4.Charles Martin Hilary
5.Barthlomeo Komba
6.Ahmed Jongo
7.Salim Mbonde
8.Abdallah Idrisa Majura
9. Idd Rashid Mchatta
10.Mikidad Mahmoud 'Brother Mick" na
11.Abdul Ngarawa