Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

Bala umenikumbusha mbali mkuu. Mimi nawakumbuka hawa;

1. James Ng'onga [Pamba FC]
2. Makwa Seleman [Pamba FC]
3. John Makelele 'Zigzag' [Pamba]
4. Khalid Bitebo [Pamba]
5. Ibrahim Magongo [Pamba]
6. Iddi Magongo [Pamba]
7. Mohammed Chopa [SSC]
8. Muhidin Cheupe [Ndovu FC]
9. Mwanga Lukeha [Ndovu FC]
10. Ibrahim Kapenta [KMKM]
11. Mohammed Kachumbari [KMKM]
12. Bob Ogolla [Gor Mahia]
13. JJ Masiga [AFC Leopard]
14. Wilberforce Mulamba [Harambee]
15. Josephat Murila [Harambee]
16. Sammy Taabu [Harambee]
17. Ibrahim Breima [El Mereikh]
18. Mohammed Kajole [SSC]
19. Kaingilila Maufi [Pilsner]
29. Abdallah Kaburu [Sigara FC]
30. Mao Mkami [Pamba FC]
 
Ngoja nojaribu mkuu wangu....Kama nimekosea nitarekebishwa na wadau

Angalau sasa tunaweza kuendelea kuweka kumbu kumbu sawa. Kwa kuongezea kama kumbu kumbu zangu ziko sahihi;
5. John Kanakamfumu ameichezea CDA dodoma
22. Frank Kassanga "Bwalya" aliwahi kuichezea pia Sigara
96. Patric Mwangata kabla ya kuja Simba alikuwa RTC Kigoma .
 
Mkirua nadhani wewe ndiye umewachanganya hawa baba na mwana.
Baba ndiye alikuwa golikipa wa Pamba ya Mwanza na jina lake ni Madata Lubigisa. Mtoto wa Madata Lubigisa aliyechezea Simba alikuwa akiitwa Lubigisa Madata Lubigiss (Lubigisa Lubigisa).

Chilambo Domick alifariki aidha mwishoni mwa miaka ya 80s ama mwanzoni mwa 90s. Nakumbuka Chilambo Domick amefariki wakati Pamba bado iko ligi kuu tena inatisha sana kipindi hicho ndani na nje ya Tanzania.

copy watu8
Mkuu Mwita Maranya, unachokisema ndicho nilichomaanisha (kama sikuandika hivyo) so we are sailing in the same boat. Nadhani kuna mahali watu8 amekubaliana na hili.

Kuhusu chilambo sikumbuki
mwaka gani alikufa exactly (but it was in early/mid 1990s) na pamba ilikuwa haijashuka na yeye alifia mbeya alikokuwa amehamishiwa kikazi. Aliwahi kutangaza pia mpira akiwa huko ama na Prison au Tukuyu starz though haikunoga kama alivyokuwa akitiririka na madata lubigisaaa....kwake david mwakalebela, anampa abdalah bori, abdala bori na mpiraaa, anampa geogre magere masatuuu.....kwake fumoo,fomo feliciannnn...kwake Beya Simba..beya simbaaa, beya simbaa anachukwa john makelelee.....goooooooooooooo......lah...njeeeeeee.....
RIP Dominic.
 
Hebu tujikumbushe Pan Africa FC;
Juma Pondamali
Mohamed Mkweche
John Faya
Leodgar Tenga
Jella Mtagwa
Ali Katolila
Ibrahim Kiswabi
Goldian Mapango
Peter Tino
 
Alifariki kama sio 1992 basi 1993...nakumbuka kipindi anafariki nilikuwa nikiishi mbeya

Mkuu Mwita Maranya, unachokisema ndicho nilichomaanisha (kama sikuandika hivyo) so we are sailing in the same boat. Nadhani kuna mahali watu8 amekubaliana na hili.

Kuhusu chilambo sikumbuki exactly alikufa mwaka gani ila ni kweli pamba ilikuwa haijashuka na yeye alifia mbeya alikokuwa amehamishiwa kikazi. Aliwahi kutangaza pia mpira akiwa huko ama na Prison au Tukuyu starz though haikunoga kama alivyokuwa akitiririka na madata lubigisaaa....kwake david mwakalebela, anampa abdalah bori, abdala bori na mpiraaa, anampa geogre magere masatuuu.....kwake fumoo,fomo feliciannnn...kwake Beya Simba..beya simbaaa, beya simbaa anachukwa john makelelee.....goooooooooooooo......lah...njeeeeeee.....
RIP Dominic.
 
Mmmmh! Mmenikumbusha fundi wangu, "MALOTA SOMA, Barijuga", akishika mpira kiti hakikariki enzi hizo
 
Thobias Ocholla jua kali(Gor Mahia),Babikier Bakumba(el Merreikh),Hamid Breima(el Merreikh),Chachala Muya Madusi,Ladislaus Chawa(Sigara),Umari Sinoga(Express),Upuku Nti(Ghana),Yaw Preko(Ghana),Wastara Baribari,Kasiga Machapati(RTC Kagera),Mikidadi Jumanne bubu(Milambo),Tumbo Tamim Risasi(Mtangazaji),Bixente Lizarazu(Bayern/France),Steven Mandanda(France),Junicho Inamoto(Fulham,Arsenal/Japan)Leonardo de Araujo(AC Milan/Brazil),Carles Puyol i Saforcada(Barcelona/Spain),Kichochi Lemba(Majimaji),Ibrahim Mbuzi(Majimaji),Celstine Sikinde Mbunga na Peter Mbunga(Majimaji),Yassin Mtekele(Coastal Union)Said Kolongo(Coastal Union),Abbas Mchemba(African Sports)Imael Urzaiz(Atletico Bilbao/Spain)Nicklas Bendtner(Juventus),Mathiue Flamini(AC Milan),Arturo Lupoli,Luizhny,koncielny(Arsenal),Jobe Ayubu kwasakwasa(Milambo)Abdalah Boli,Mao Mkami ball dancer (Pamba),Jose Maria Gutierez(Real Madrid/Spain),Raul Gonzalez Blanco raul Madrid(Real Madrid),Birindelli(Juventus),Ignazio Abate(AC Milan)
 
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta (RIP) na Nadhir Mayoka (RIP). Baadhi ya ninaowakumbuka ni hawa:

Madata Lubigisa
Madundo Mtambo
Morris Nyuchi
Kipanya Malapa
Ikupilika Nkoba
Costa Magoloso
Omari Mswaki
Betwell Africa
Itutu Kigi

Mohamed Kachumbari
 
Dogo ulikuwa bado mdogo kipindi hicho, waulize waliokuwa wanasoma magazeti kipindi hicho..Wengi watakuwa mashahidi wangu, Afu nisaidie kumwambia ummu kulthum aje achukue mzigo wake aliousahau kwangu siku ile..... Regards:wave:

kusahau nisahau mie, kukumbusha umkumbushe mwingine kwa sauti ya snura MAJANGA!
 
WEWE KIBOKO KWA KUMBUKUMBU
=4]Angalau sasa tunaweza kuendelea kuweka kumbu kumbu sawa. Kwa kuongezea kama kumbu kumbu zangu ziko sahihi;
5. John Kanakamfumu ameichezea CDA dodoma
22. Frank Kassanga "Bwalya" aliwahi kuichezea pia Sigara
96. Patric Mwangata kabla ya kuja Simba alikuwa RTC Kigoma .
[/SIZE][/QUOTE]
 
Huyu jamaa nakumbuka wakati wa World cup ya Korea na Japan kuna wakati alitembelea mji Kumamoto kuna gazeti moja hapa nchini likatoa picha yake na maandishi "MBO NDANI YA KUMAMOTO" I was like 'whaaat..!'
duuh!mzee wa Lumo hizi siyo fiksi kweli
 
Huyu jamaa nakumbuka wakati wa World cup ya Korea na Japan kuna wakati alitembelea mji Kumamoto kuna gazeti moja hapa nchini likatoa picha yake na maandishi "MBO NDANI YA KUMAMOTO" I was like 'whaaat..!'

duuh!mzee wa Lumo hizi siyo fiksi kweli

Mkuu mpalu

Sio fiksi wala nini, hii ni stori ya kweli kabisa, mwaka 2002 gazeti la Spoti Starehe lilitoa picha ya mshambuliaji wa Ubelgiji MBO Mpenza akiwa anafanya mazoezi na timu hiyo katika uwanja wa mazoezi wa Ubelgiji wa Kumamoto Athletics stadium....Juu ya ile picha kulikuwa na caption inayosomeka 'MBO NDANI YA KUMAMOTO'......

Habari hii ilizua kizaazaa kiasi cha serikali kutishia kulifuta gazeti hilo....Kampuni ya BTL wamiliki wa gazeti hilo waliomba radhi na ishu hiyo ikaisha.......
 
Last edited by a moderator:
Japan kuna mji una jina hilo.nakumbuka katika somo la jiografia darasani huu mji ulisababisha tutandikwe bakora darasa zima na ticha akaondoka kanuna yeye aliyetuchapa,sisi tuliopigwa bakora tunaendelea kucheka!
 
Nassoro Mwinyi Bwanga
Nteze John Lungu
Sahau Kambi
Juma Pondamali
Idelphonce Amlima
Shaibu Kambangwa
Edgar Tekele
Justin Simfukwe a.k.a Nelson Mawazo
Mchunga Bakari
 
Back
Top Bottom