Majina ya wadada husadifu yaliyomo

Majina ya wadada husadifu yaliyomo

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Eti wana JF eti majina ya wadada wakati mwingine yanasadifu yaliyomo..

Wadada warembo huwa na majina simple na ya kinyumbani mfano
Neema, Maria, Latifah, Pendo.
Huwa wapole na wanyenyekevu.

Ila songombingo linakuja kwa hawa kina
Malaika,Catherine, Cynthia, Linah
Hawa ni moto kweli kweli
 
Huu uzi bwana...[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]
umemsahau Mwajuma, Aisha na Manka...Neema naona umeshamtaja hapo..
 
Kwa hiyo unashauri nini?

Yani unatakaje?Nyuzi za kama hizi zinatakiwa kwenda chit chat
 
Mleta mada amekariri ujinga
Sijakariri lakini unahisi madada wanaoitwa Aisha,Zainabu,Latifah wanatabia zinazoendana na wale wanaoitwa Sharon,Catherine,Sabrina
 
Back
Top Bottom