Majina ya Wajumbe wa PCT yaliyopelekwa Ikulu ya Kiwete Haya hapa!!

Hatutaki wabaguzi tanzania

Hivi wewe unafanya kazi za maendeleo wakati gani? Nimefuatilia upo humu kutetea CCM 24/7 au hiyo 7 thousand inakutosheleza? Fanya kazi kijana maana baada ya miezi kadhaa hicho chama hakitakulipa tena kwa vile hakitakuwa na fedha na umuhimu wako hautakuwepo. Pole sana.


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Kwa hiyo?
 
jamani ni ukwel usio pinda kwamba kundi la pct huwezi litupilia mbali hivyo ko walichofanya wameprove nothing ila Mungu akitaka kuangamiza huwapa waangamiao mioyo migumu ili waende jk atakua kama farao
 
Nchi hii kila kichochoro ni usanii mtupu, ikulu hata kutazamika kwasasa ni aibu tupu
 
Peleka uchadema wako kule


U-CHADEMA umeuingizaji humu???

Kama sio wewe ndio Umejaa U-CCM,Mnatubagua kidini,Kutugawa na Kuwatenga wengine mpaka kwenye Masuala Nyeti ya Kitaifa kama hilia BUNGE LA KATIBA na HATIMA YA NCHI YETU KUELEKEA KWENYE KATIBA MPYA.
 
U-CHADEMA umeuingizaji humu???

Kama sio wewe ndio Umejaa U-CCM,Mnatubagua kidini,Kutugawa na Kuwatenga wengine mpaka kwenye Masuala Nyeti ya Kitaifa kama hilia BUNGE LA KATIBA na HATIMA YA NCHI YETU KUELEKEA KWENYE KATIBA MPYA.

Mliobaguliwa mko wangapi kwenye bunge la katiba?
 
Sasa Kwanini walipoambiwa Wanyamaze kimya na wao wakanyamaza? Ndio hili liliingizwa hapo
 
FaizaFoxy suala sio jina bali ni kundi la Wakristo wa madhehebu ya Pentecoste wapatao milioni 10 majina waliyopendekeza kutupwa yote.
 
Weka barua yao iliyotumika kupeleka majina hayo ili uaminike zaidi mnakaa kutunga uongo sijui kwa faida ya nani.
 

Embu toa upumbavu wako hapa, haiwezekani kila mtu awe mjumbe bunge la katiba. Hawa waliopo wanatosha kabisa kutuwakilisha na kupa katiba inayoeleweka!..
Acheni tamaa ya posho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…