majina ya walio chaguliwa kujiunga jordan university college haya hapa

nauliza tu hiki chuo kipo nchi gani?

Kola Hill, Morogoro Tanzania, zamani kikiitwa Salvatorian Institute of Philosophy and Theology. Ni constituent college ya SAUT, kinaendeshwa na kumilikiwa na Salvatorian congregation (SDV)
 
Kola Hill, Morogoro Tanzania, zamani kikiitwa Salvatorian Institute of Philosophy and Theology. Ni constituent college ya SAUT, kinaendeshwa na kumilikiwa na Salvatorian congregation (SDV)

Pana umbali gan toka Moro town
 
da vyuo vingne ukisema unasoma watu wanaweza kukushangaa
 
Mbona waliochaguliwa huko hawajitokezi tuwapongeze?
 
Kola Hill, Morogoro Tanzania, zamani kikiitwa Salvatorian Institute of Philosophy and Theology. Ni constituent college ya SAUT, kinaendeshwa na kumilikiwa na Salvatorian congregation (SDV)
mkuu ahsante kwa udadavuzi mana mi nilikuwa napiga mahesabu ya mbele kumbe kipo hapo mji kasoro pwani!! hahahaaa ila nadhani uzalendo umeondoka kabisa siku hizi kwa sababu sioni haja ya kuvipa majina ya nje vyuo vyetu hat kidogo, bora wangekiita hata kilosa university mara kumi..khaaaa
 
Geography na Kiswahili atii!!
 
EARPHONE hongera sana ukasome sasa tusisikie sijui ulifanyaje ukarudishwa home. Ha ha ha ha hah.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…