Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nauliza tu hiki chuo kipo nchi gani?
nauliza tu hiki chuo kipo nchi gani?
Hakuna aliye chaguliwa??
Kola Hill, Morogoro Tanzania, zamani kikiitwa Salvatorian Institute of Philosophy and Theology. Ni constituent college ya SAUT, kinaendeshwa na kumilikiwa na Salvatorian congregation (SDV)
Pana umbali gan toka Moro town
Almost ni km 4 nauli ni tsh 300 me naxoma hapo naingia mwaka wa 3
mkuu ahsante kwa udadavuzi mana mi nilikuwa napiga mahesabu ya mbele kumbe kipo hapo mji kasoro pwani!! hahahaaa ila nadhani uzalendo umeondoka kabisa siku hizi kwa sababu sioni haja ya kuvipa majina ya nje vyuo vyetu hat kidogo, bora wangekiita hata kilosa university mara kumi..khaaaaKola Hill, Morogoro Tanzania, zamani kikiitwa Salvatorian Institute of Philosophy and Theology. Ni constituent college ya SAUT, kinaendeshwa na kumilikiwa na Salvatorian congregation (SDV)
mkuu ahsante kwa udadavuzi mana mi nilikuwa napiga mahesabu ya mbele kumbe kipo hapo mji kasoro pwani!! hahahaaa ila nadhani uzalendo umeondoka kabisa siku hizi kwa sababu sioni haja ya kuvipa majina ya nje vyuo vyetu hat kidogo, bora wangekiita hata kilosa university mara kumi..khaaaa