Mbona naskia ardhi ni kama vyuo mbuzi vingine, simply msuli wake ni lelemama sana, mi kuna jamaa kamaliza hapo mwaka huu alikuwa anapiga bulding economy yani jamaa alikuwa anashinda maisha club na bilcnz so inshortly hapo hakuna msuli full maGPA makubwa bila efforts.

kwa waliochaguliwa ardhi, kama una tatzo tuwasiliane 0766022653
mkuu nichekie juma bakari.land management&valuation.
you have been selected
Wadau kwenye Website Ya Ardhi University wamewekaa Majina Ya Waliochaguliwaa kujiunga na chuo 2014/2015 Lakini Hayafunguki Tatizo Nini?
............................................
Ardhi hakuna shule ngumu kama jamaa alivotisha but kuna school kama tatu ni za motoooo hiyo ya BE ani SCEM na SURP(mipango miji) hizi zinaunafuu but kwingine kuna balaa