Majina ya waliochaguliwa jkt

Majina ya waliochaguliwa jkt

Kwahiyo nyie mliochaguliwa vyuoni na vyuo vimeshaanza kufunguliwa mtafanyaje sasa?
 
Kwahiyo nyie mliochaguliwa vyuoni na vyuo vimeshaanza kufunguliwa mtafanyaje sasa?


Tunahairisha, tutaenda jeshini kupata mafunzo yenye mantiki, tumechoka kucram mavitabu

sasa tunataka things taught in actions sio kukariri kariri tu
*uzalendo
*nidhamu
*utimamu wa mwili
*ukakamavu
*wepesi
*confidence nk nk
 
oi...nenden jkt mana nmechek web ya ministry of education and vocation training it seems waliochaguliwa msumbiji masomo yanaanza mwez wa 1(january)kaz kwako kuchagua wapi pa kwenda..
proooof
www.moevt.go.tz
 
Back
Top Bottom