Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

asante sana kwa mtoa uzi huu maana kuna mdogo wangu alikwisha kata tamaa ila amechaguliwa
 
Hey,walimu wenzangu majina ya vijana walioomba kujiunga na vyuo vya ualimu kwa mwaka wa masomo 2014/15 majina yako hewani,lakini kuna mabadiliko mengi kuhusu uchaguzi huo,pia kuna mpango wa kufuta ualimu ngazi ya cheti kwa masomo ya sanaa na wanampango wa kubakisha masomo ya sayansi na lugha tu kwa ngazi ya cheti na Astashahada,kwa hiyo mwambie rafiki yako akazanie masomo ya sayansi na lugha kama anataka kuwa mwalimu
 
Naombeni msaada kuhusiana na shule ya Nachingwea high school maana nasikia ndio mwaka wa kwanza huu kuchukua kitado cha tano
 
Niangalizie ramadhani halfani magubike s.s
 
Back
Top Bottom