majina ya waliochaguliwa kujiunga na UDSM mwaka wa masomo wa 2013-2014

majina ya waliochaguliwa kujiunga na UDSM mwaka wa masomo wa 2013-2014

Jamani kama hujui kitu bora utulie tu..mambo mengine pelekeni fb bandugu.
 
baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap blog ya www.udsm.ac.tz

unamtindio ww
 
Udsm yenyewe anaijua au kwa sababu upo nyuma key board unajiandikia 2! stupi
 
mkuu kabla ya kupost uwe unatuuliza tukupe tofauti ya website na blog.. iv umeishia darasa la ngapi vilee???
 
hv jaman unaweza kuchukua admission latter main campus hata kama umechaguliwa muce
 
mpaka hapo sijui kama kweli TCU wamekuchagua,nahisi ungejaribu third selection ili upate chuo kizuri unaonekana dogo ni kilaza sana
 
hamna oil sumu,km uko dar kachukue pale main campus ila kama uko nyanda za juu kusini kachukue pale iringa,kwa sababu hizi admission huwa znaandaliwa main campus af uzuri wake zmeandikwa UDSM na siyo MUCE
 
Back
Top Bottom