Majina ya waliofanya makosa katika fomu za bodi ya mkopo

Majina ya waliofanya makosa katika fomu za bodi ya mkopo

Joined
Jun 25, 2013
Posts
65
Reaction score
11
NDUGU HABARINI; KWA YOYOTE ANAYEJUA KUHUSU KUTOKA KWA MAJINA KWA WALE WALIO KOSEA KATIKA FOMU ZA BODI ANIJUZE. :help::help::help:
 
Hata mimi ninahamu ya kufahamu tujuzeni wana jf
 
vuta subira matokeo ya waliopewa mkopo yakitoka, siku kadhaa baadae na mliokosea mtaitwa kufanya marekebisho.
 
Back
Top Bottom