Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Wanajamvi msaada s1124/0113/2010
 
near mliman city au nitafute mie pia naenda huko jumatatu asubuhi..
Angalizo..
Kupo waz kuanzia saa mbili asubuh mpaka saa saba mchana..4more info pls check me thru 0713724722
 
Me nmeandikiwa not secured,tafadhali sana naomba watakaoenda bodi kesho waulize na hii suala limekaaje ndugu zangu.
With regards.
 
near mliman city au nitafute mie pia naenda huko jumatatu asubuhi..
Angalizo..
Kupo waz kuanzia saa mbili asubuh mpaka saa saba mchana..4more info pls check me thru 0713724722

mkuu mkisyeli namimi pia majanga kama kwako,hivyo nimechukua namba yako ili tushauriane cha kufanya maana hawa bodi wanaleta mazoea.
With regards.
 
jamani mwenyewe kuweza kupata access anichekie loan allocation index number S0397.0109.2006
 
mimi nilikuwaga chuo nikapataga matatizo na nikashindwa kuendelea na masomo,inshort nilipataga ajali nikapotezaga fahamu na nikawa sijitambui kwa muda kama miezi miwili hivi n mitihani ilikuwa inaendelea chuo kipindi hicho,sasa kitendo cha kutoshiriki ile mitihani halafu istoshe watu wangu wa karibu hawakuweza kutoa taarifa mapema kwahiyo nikawa direct discontinued nilipoenda baadae kutoa taarifa wakaniambia no way out inabidi tu niombe maombi upya kama first time aplicant.sasa ukiwa unaomba upya na bodi napo inabidi uombe upya,sasa nilipoenda bodi ndio wakaniambia inabidi kwanza nilipe asilimia 25 ya kiasi ambacho nilishapewa wakati nasoma then ndio niombe upya ndio nitapewa.sasa nikajitahidi kutafuta hiyo 25% na nikawalipa na kutuma maombi bt ndio naangalia nw naona wameninyima.imeniuma sana,bora kama ningejua hawanipi hicho kiasi bora tu ningeongezea nikaenda kujilipia ada nianze masomo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…