bodi walikuwa wananidai na wakanitaka nilipe 25% ya kiasi wanachonidai ambayo ilikuwa 1,057,000.nikahangaika sana kuitafuta nilikuwa ninaendesha bodaboda nikajiwekeza mpaka ikatimia na nikaenda kulipa na kutuma maombi ili nirudi chuo,bt at the end of the day nakuwa kama nilichokifanya ni kazi bure MKOPO WAMENINYIMA.roho inaniuma sana nilifikiria nimetafuta hela kwas tabu sana,nimekubali kujinyima vyote nisile vizuri,nisivae vizuri ili nirudi shule bt BODI WAMENITENDA VIBAYA SANA.Kiukweli imeniumiza sana i thought i was going to be a hero bt nw i just see lyk im a ZERO.walichonitenda bodi,katu sitowasahau