Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
matumizi binafsi ni pesa za:
1. Meal and accomodation
2. Field practical training (FPT).
ILA HUWA WANATOA KWA AWAMU AWAMU (x4 kwa mwaka hasa meal na accomodation)

kwhyo ambao hawajapewa pesa ya field inamaansha hawafany fied au inakuwaje nieleweshen wakuu
 
toka jana nawaambia mniangalizie S0645/0057/2010 mbona hamniangalizii maskini mimi!
 
Duuuh hivi mtu huwezi kuapeal hii ishu ya loan?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kwhyo ambao hawajapewa pesa ya field inamaansha hawafany fied au inakuwaje nieleweshen wakuu

Hapo nadhani kwa kozi unayosoma haina field kwa mwaka huu husika wa mkopo.thus y...coz kwa koz yangu M.D nimewekewa iyo 0 na hata ktk prospectus ya chuo wame indicate hivyo yaani 0
 
Hv kuna Uwezekano Kukawa second round..
May we can Gain Hope..
 
bro pambana hakuna lisilowezekana chini ya jua, cha msingi malengo!! am sure u can sababu naona nia unayo, am praying for you to reach your goals
maombi kweli kweli na kazi ndo hiyo bodi washaninyima hela nitakomaa ile mbaya sikati tamaa hata nyasi ntakula ila shule kama kawa pamoja one day utajasikia.
 
So mbona ngumu sana kufunguka? halafu naambiwa kwamba walioomba na diploma wengi wamekosa ni kweli mnisaidie mliokwisha fungua.
 
Duuuh hivi mtu huwezi kuapeal hii ishu ya loan?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mimi nimebaki nacheka 2 maana ata siwaelewi hawa jamaa nina div 1 ya tisa nimepangiwa electrical engineering na mkopo sina eti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom