Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
mpaka wakati huu kuna yeyote kati yenu amefanikiwa kuona result yake ya mkopo??
 
heeeeeeeeeeeeeeeeeee.........................
 
page inaload saaaanaaaa mpaka inaboa kama kuna aliyepyapakua ayatupie
 
Niko near na mkongo wa taifa lakini bado iko slooooooow.. Bora niachane nao
😛lane:
 
jaman mm imefunguka bt majibu yalioniletea hata sijui au ndo nimekosa jaman et inasema THIS FORM 4INDEX NUMBER Z NOT SECURE FOR LOAN APPLICATION 2O13-2014 Daah au mbna sielew yaan
 
jaman mm imefunguka bt majibu yalioniletea hata sijui au ndo nimekosa jaman et inasema THIS FORM 4INDEX NUMBER Z NOT SECURE FOR LOAN APPLICATION 2O13-2014 Daah au mbna sielew yaan

Yan imenijibu ivyo ivyo....hapa nilipo sijielewe msaada kwa mwenye kuelewa jamani
 
tulieni !!
kama una bahati utapata and vise versa iz truu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…