Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa hawaeleweki huyo kijana anasoma public relation and advertsiment kalamba kama 90% plus mazaga mengine 1380302491646.jpg
 
yeah umekoxa jpange kvngne kuxoma bila loan bhac check S0549/0217/2010 il 2one napo wataxemaje
 
i neeed some help please index s1505/0155/2009 notification sil vous plait!
 
Dah me tangu form 1 hadi form 6 nimetumia 280,000/= sa hawa loan board sijui watanipa ngapi hapo. Tumbo joto hapa
 
Tarimo bwana kweli wa rombo maana huko kenya si wanatoa mkobo kwa wose? Au ni kwamba sijakuelewa mantiki ya kusema hii ndiyo Tanzania!!!

Ooowi mndu mmi na matuva a kisakeni na mnyura na mkite
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom