Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Jaman mi nko 2nd yr, mwaka wa kwnz ckuomba mkopo, nw ndo nmeomba na cjui wanaangaliaje. S0534.0009/2009 help me plz
 
wakuu msaada wenu pls niangalizien kwangu mtandao unasumbua!
S3561.0210.2010
 
Wale wageni wa pesa zaidi ya laki wanaenda kuoa mana watoto wa siku hiziiii
 

Asante kiongozi
 
jamn kuna yeyote alie chaguliwa DIT kupitia equevalent/diploma amepata?? maana hali n tete jaman??
 
jamani mbna haifunguki hyo link ya heslb?naona inaload mda mrefu tuuu:A S angry:
 
Jamani mikopo wanatoa kwa mwaka wa kwanza tu?, mana nimeona wale waliopo chuoni tayari ambao hawakuomba mwaka wa jana na wameomba mwaka huu hawakupata nikiwemo mimi naomba nisaidieni kunielimisha mana ni majanga
 
wadau haya majina ya allocation yanahusisha pia wale wanafunzi wanaoendelea na masomo ila hawakupata bahati ya kupata mkopo kwa mwaka jana?
 

Ahsante mkuu
 
bora yako wewe sie wengine mpaka sasa atujui htma yetu maana ata chuo bado aieleweki majina yapo ila vyuoni akuna na ata bodi ya mikopo nao awaeleweki wamefunga accaunt yao ya nouma
 
haya Mkenga TENDWA MEALS&ACCOMODATION=1,837,500: BS=200,000:FEE=629,000:FPT=480,000:SFR=50,000=TATAL=3,1965,00 hata mtoto wa John Tendwa udom inakuita
 
Vip wadau naomba kwa yeyote anaejua link ya kuangalia matokeo ya mikopo ya bodi anisaidie koz nikienda directly sioni kitu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…