mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Loan Allocations
Hio hapo ila kama itakuzingua nipe mm namba yako ntakuchekia
Hio hapo ila kama itakuzingua nipe mm namba yako ntakuchekia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani vile vibox mbona vingi! tunajaza nini?
Vip wadau naomba kwa yeyote anaejua link ya kuangalia matokeo ya mikopo ya bodi anisaidie koz nikienda directly sioni kitu
Name : FRED, KAMUGISHA MUKULAS
Institution : ARDHI UNIVERSITY (ARU)
Course : BSBE
Year of Study : 1
Loan Breakdown
Meals and Accommodation (MA) 1,852,500
Books And Stationary (BS) 200,000
Field Practical and Trainings (FPT) 620,000
Tuition Fee 1,212,000
Research 50,000
Special Faculty Requirements (SFR) 217,150
TOTAL AMOUNT. 4,151,650
Msaada s1947/0140/2010 password 264790
dah! nimeomba mkopo na nimekosa,yani roho imeniuma sana naona ningekuwa na moyo mdogo nw ningekuwa nimeshajitundika.nimekata kabisa tamaa ya maisha yani hadi nahisi kuchanganyikiwa,labda kama cjaona vizuri S0135/0147/2006
Bwana saly ushaxahau meaning of freshers mara hii? hayo matokeo ni ya wale waliomaliza 6 n dip,,,cc vkongwe ye2 bado,,,,
Mi nimenyimwa bwana,sijui kwakua nimeomba nikiwa tayari nimekwisha soma mwaka wa kwanza naingia wa pili, kama kuna taarifa kuhusu majina ya awamu ya pili tujuzane jamani ili nikae nasubiri hayo mengine...kama watakua wamekula ka 30000 kangu bas tena no way out ntakomaa na maisha yangu ya bila mkopo chuoni...ntatoboa tu ivo ivo god knows.