Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Jaman vip kuhusu waliokosa mwaka wa kwanza wakaappeal mwaka wa pili mikopo yao tayar au bado ?
 
NA WALE WADOGO ZETU WALIOSOMA FORM FOUR NJE YA NCHI?! mAANA HIZO INDEX NAMBA NI ZA TZ TU...mSAADA TAFADHALI
 
Nisaidie kujua Jina langu kwa bodi S0351-077/1991 nimekwama mpaka mda huu
 
Nisaidie kujua Jina langu kwa bodi S0351-077/1991 nimekwama mpaka mda huu
 
Name : FRED, KAMUGISHA MUKULAS
Institution : ARDHI UNIVERSITY (ARU)
Course : BSBE
Year of Study : 1
Loan Breakdown
Meals and Accommodation (MA) 1,852,500
Books And Stationary (BS) 200,000
Field Practical and Trainings (FPT) 620,000
Tuition Fee 1,212,000
Research 50,000
Special Faculty Requirements (SFR) 217,150
TOTAL AMOUNT. 4,151,650
 
Aiseeh mi sielewi..mbona vijumba vingi?na aya matokeo ni ya wale wa form six tuu au hata cc tulokua tushajoin chuo tunaingia second year.
 

huyu kijana akifika chuo..
mtafute kaka yako departmnt ya architecture..
 
Bwana saly ushaxahau meaning of freshers mara hii? hayo matokeo ni ya wale waliomaliza 6 n dip,,,cc vkongwe ye2 bado,,,,
 
Mi nimenyimwa bwana,sijui kwakua nimeomba nikiwa tayari nimekwisha soma mwaka wa kwanza naingia wa pili, kama kuna taarifa kuhusu majina ya awamu ya pili tujuzane jamani ili nikae nasubiri hayo mengine...kama watakua wamekula ka 30000 kangu bas tena no way out ntakomaa na maisha yangu ya bila mkopo chuoni...ntatoboa tu ivo ivo god knows.
 
Msaada s1947/0140/2010 password 264790


[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="class: details2"] Name [/TD]
[TD="class: dots, width: 20px"]:[/TD]
[TD] FRED, KAMUGISHA MUKULAS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: details2"] Institution[/TD]
[TD="class: dots"]:[/TD]
[TD] ARDHI UNIVERSITY (ARU)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: details2"] Course[/TD]
[TD="class: dots"]:[/TD]
[TD] BSBE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: details2"] Year of Study[/TD]
[TD="class: dots"]:[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Loan Breakdown[/h] [TABLE="class: table-bordered, align: center"]
[TR]
[TD]Meals and Accommodation (MA)[/TD]
[TD="class: numbers"]1,852,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Books And Stationary (BS)[/TD]
[TD="class: numbers"]200,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Field Practical and Trainings (FPT)[/TD]
[TD="class: numbers"]620,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tuition Fee[/TD]
[TD="class: numbers"]1,212,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Research [/TD]
[TD="class: numbers"]50,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Special Faculty Requirements (SFR)[/TD]
[TD="class: numbers"]217,150[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL AMOUNT.[/TD]
[TD="class: numbers"]4,151,650[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Bwana saly ushaxahau meaning of freshers mara hii? hayo matokeo ni ya wale waliomaliza 6 n dip,,,cc vkongwe ye2 bado,,,,

Ok sawa bt nimeshangaa wakotuambia not secured for loan ndo kinachontatiza
 

god au@God
 
Hata mm ckuwah kujaza upya zle fom,lakn nmewatokea bod wakanijazia xaxa majna ya kwnza cna cjui yakitoka ya pili nistue na mm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…