Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
mbona haifungui?tuma website vizuri
 
Mkuu acha kurusha roho za watu, hiyo academic year mbona ni ya mwaka jana, au hata wewe huelewi? Aliyepewa huo mkopo mwezi wa kumi anatarajia kuingia second year!
 
Nyie achen kudanganyika, hiyo link ya mwaka jana, mtakufa na presha buree
 
Mkuu acha kurusha roho za watu, hiyo academic year mbona ni ya mwaka jana, au hata wewe huelewi? Aliyepewa huo mkopo mwezi wa kumi anatarajia kuingia second year!

umetupoteza,kwani hayo majina yalikuwa ya mwaka jana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…