Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Baada ya kuandika form 4 index number,kilichofuata ni manyota nyota tu...
Yani page haifunguki...
 
Landcruiser....

Wewe umeshacheki yako..??

Mimi uku ni manyota tupu..
SERVER TIMED OUT...
 
Last edited by a moderator:
jaman mm imefunguka bt majibu yalioniletea hata sijui au ndo nimekosa jaman et inasema THIS FORM 4INDEX NUMBER Z NOT SECURE FOR LOAN APPLICATION 2O13-2014 Daah au mbna sielew yaan

huna mkopo
 
Baada ya kuandika form 4 index number,kilichofuata ni manyota nyota tu...
Yani page haifunguki...

usìhofu yatafunguka tu.!ila kwa sasa kuna database error!
Kwa Tuliowahi Tulitazama toka Saa 11 jioni.
MUNGU MKUBWA HAKUNIACHA MAANA NIMEPATA ZAIDI YA NILICHOTEGEMEA.
Dah,THANKX GOD!
 
usìhofu yatafunguka tu.!ila kwa sasa kuna database error!
Kwa Tuliowahi Tulitazama toka Saa 11 jioni.
MUNGU MKUBWA HAKUNIACHA MAANA NIMEPATA ZAIDI YA NILICHOTEGEMEA.
Dah,THANKX GOD!


Mpendwa....
Umekula 100% ama....?
Kozi gani mkuu...??

All in all hongera sana...!!
 
mi nimefanikiwa kweny index lkn nikiweka namba ya form 4 inaniamibi not valid inaserch enter a valid index numba
 
Loh loh moyo wangu tulia....

Presha inapanda presha inashuka...

I've already busted a nut,lots of semen..ni balaa
 
it sucks, mozilla inakuambia database error, chrome loading............................:A S angry:
 
kibox cha mwanzo kama school candidate ulipokuwa form 4 weka "S" kama private weka "p" kibox kinachofuata weka namba ya kituo cha form 4, bila ya kuanza S0xxx wala P0xx, andika nambari tupu, then last box weka mwaka uliofanya mtihani wa form4.
I itasaidia
 
Kwa muda mrefu ndani ya jukwaa hili f,thread nyingi zilihusu tcu na bwana mkubwa heslb,lakini naamini siku ya leo bwana heslb amekuja kufunga mijadala hiyo..pongezi kwa waliobahatika kupata mkopo na poleni ndugu zangu mliokosa..sio mwisho wa maisha..
tukutane SUA Bsc.Horticulture
 
Sodoka kama unajua nsaidie,mtu anaweza pata asilimia 0,ambayo ni ya fee!lakn boom anapata hapo mtu atajuaje?
Utakutana na jedwali kama hili so utajua kama umepata nini na umekosa nini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…