Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
nahisii km preshaa,tumbo la kuhara haya itabidi nihairishe mwaka maana naona cna changu
 
samahanini wapendwa...matokeo ni kwa first year tu au hata walioappeal ambao hawakupata mwaka jana??
 
s1196/0167/2010...s1196/0175/2010...na s1196/0185/2010 msaada jamani wa kuniangalizia
 
mamamamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........oooooo hselb....!!!poa tuuu tutakaa nyumbani mpak mkotaka kutukopesha
 
nipe index # nkusaidie


Jamani Eshy...

Mungu si Athumani...
Nimevuta manoti mengi mpaka naogopa.....

EEH MUNGU NIPE MBINU ZA KUWAZULUMU OLAS MUDA WA MAREJESHO UKIFIKA....
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna mtu yeyote alieomba chuo kwa kupitia nacte alepata mkopo????naona kama tumetoswa flani hv daaah
 
Jamani Eshy...

Mungu si Athumani...
Nimevuta manoti mengi mpaka naogopa.....

EEH MUNGU NIPE MBINU ZA KUWAZULUMU OLAS MUDA WA MAREJESHO UKIFIKA....

hahahaa! kurudisha must wangu, hongera! una mia nini?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…