Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Man of Steel niangalie
(S0862/0025/2010 online mkopo wa bodi baaalaaa niko dispensary hapa binti kazimia baada ya kukosa mkopo, gafla na mwingne anashushwa toka kwenye spacio duu hivi hawa HESLB ni kampuni gani hyo??? Ina maana ndo wafadhili wa vyuo vikuu mi sijielewi ujui

(S0862/0025/2010)

wape pole wote wambie wasikate tamaa wajaribu kuapeal wanaweza kufanikiwa kupata mkopo tena
 
Kijuche pole kwa kazi unayoifanya humu jf...hebu nisaidie huyu dogo s0845/0031/2001
 
Wana JF ni majanga hakika HESLB wametutenda vibaya jamaa yangu kachanganyikiwa msaada hapa unahitajika huko Nertwork hamna.

S0862/0025/2010

Vijana watatu wako hapa ni drip tu mikononi HESLB imewanyima
 
Wana JF ni majanga hakika HESLB wametutenda vibaya jamaa yangu kachanganyikiwa msaada hapa unahitajika huko Nertwork hamna.

S0862/0025/2010

Vijana watatu wako hapa ni drip tu mikononi HESLB imewanyima

Nadhani wanaweza kuapeal..kusoma bila mkopo ni mzigo mkubwa kwa family
 
Da! inaload hadi unasinzia, bongo kila kitu taabu tu.

Low database management server mwenyewe kazidiwa hii ndo africa hususani bongo yaani mbona michosho huku kwetu hakunaga hata internet huwezi amini niko na kamchina hapa lakini vijana 24 wamepanga foleni tangu saa kumi na mbili eti niwachekie duu yani huruma sana
 
wakuu niko chini ya miguu yenu plz s0306.0073.2008 msaada tafadhari banng
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom