flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Ni noma sanaaaa kaka
hawa jamaa wauwaji,jaribu kuappeal wanaweza kuongeza kdg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni noma sanaaaa kaka
Acha kukatisha tamaa wenzio, km huwezi kuangalia vizuri acha kabisa mizaha hiyo bwana sawa, huyu jamaa kapata mkopo
Daniel Nyagawa G. S0167.0039.2011 cheki No 134 jina lako lilipo
sory kaka aliniambia daniel nyagawa kumbe limeandikwa nyagawa daniel na sikuwa na wazo la kuangalia nyagawa daniel,
Usijali kaka kupitiwa ina tokeaaa