Pre GE2025 Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yule mshenzi anaitwa Vitus sijui takataka gani hodari wa kutukana matusi kule Twitter hapaswi kupewa nafasi yoyote ya uongozi. Abaki kuwa mpiga kelele na yule kijana mwenzake mwenye mdomo mchafu wakuitwa Martin
 
Ndo maana huwa unapenda kusema mabaya ya wengine kwa sababu habari za chama chako hazina mvuto tena?
Hivi hiki ndo kile Chama Kikuu cha Upinzani kwa maneno yenu, au tusibiri kuna kingine kinakuja?
 
Ndo maana huwa unapenda kusema mabaya ya wengine kwa sababu habari za chama chako hazina mvuto tena?
Hivi hiki ndo kile Chama Kikuu cha Upinzani kwa maneno yenu, au tusibiri kuna kingine kinakuja?
Hazina mvuto ila umekuja!
 
Baada ya kutembeza mlungura majina yatolewa hadharani!
 
Mafisadi hata mkichaguana,inatusaidia nini sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…