Majina ya Wanafunzi wa Kidato Cha Sita Na Vikos Vya Jeshi la Kujenga la Kujenga Taifai Walivyopangwa

Majina ya Wanafunzi wa Kidato Cha Sita Na Vikos Vya Jeshi la Kujenga la Kujenga Taifai Walivyopangwa

Safi sana wakale kazi na tifu la kutosha hao.
 
Sasa hivi naona jeshi liko full.Wameiachia hadi kambi zao nyeti za Oljoro na Mafinga kwaajili ya vijana

Hawa "wazalendo" watatoka wameiva vya kutosha
 
Namuonea huruma my young sister! Very beautiful, Mungu amlinde tu na ubakaji wa jeshini!
 
Back
Top Bottom