Jamani naomba kujua wale wenzangu tuliomba mafunzo ya ualimu tarajali kwa masomo ya biashara, kama kuna yeyote aliyechaguliwa course nyingine tofauti na aliyoomba! Hii itasaidia watu kujua kama turudi vijijini tukalime au tukomae tusubirie?
Wale waliokosa nafasi city college of health and allied sciences nafasi kwenye kozi za afya.ukiwa na D TATU moja iwe ya chemistry au biology unapata nafasi ya certificate in medicine dispensing.no koZi ya mwaka mmoja.piga 0712227773
Kama kuna mtu bado yupo mtaani name unaweza kusoma kozi za afya nenda city college of health and allied sciences.kozi ya medicine dispensing ukiwa name d TATU tu .moja iwe ya chemistry au biology.pigs 0712227773
Ni kwamba kwa wale wenye four ya 26/27 na 32-34 majina yao bado kutoka kumbuken wenye div 4 wataenda kusoma mafunzo kabiilishi kwanza ila majina yaliyotoka ni ya wale wa elimu maalum yaani diploma ya shule ya msingi... Kwa hiyo walewenye ddiv 4 subirin msikate tamaa.
Mimi nimechaguliwa mfumo was UDOM nikapelekwa Singida teacher college ordinary diplom In Arts. lakin nmechaguliwa tena bunda diploma ya awali sijui inakuaje? 0765075887
JAMANI SAWA TUMECHAGULIWA UDOM LAKINI NACTE WAMETOA MAJINA HESLB TAR YAO YA MWISHO KUOMBA ILKUWA IMEPITA NA NISINGEOMBA KABLA MAANA SIKIJUA KM NITACHAGULIWA .mwenye tetesi anisaidie tafadhali