Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Tunaanza kupata matumaini wale wooote! tulio omba nafasi ya mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti! inshaallah mung yupo nasi
 
Ninachokumbuka ni kuwa wakati Application zinafanyika zilikwelo za Aina kadhaa,1:Cheti ualimu awali2:Cheti ualimu msingi3:Cheti ualimu msingi(Bridging kwa dv 4)4:Stahashahada msingi...kwa inservice Teachers)5:Stahashahada SekondariNa hawa ilikuwa unaweza Apply Moja kwa moja Wizarani au Nacte.Lakini mwanzoni System ya Nacte ilikuwa haina Sehemu ya kuapply ualimu.Ila badaye likatoka Tangazo la kuapply diploma special kwa Sayansi.Hii ndiyo ilikuwa inapatikana Kupitia Nacte online Application.Sasa haya matokeo yaliyotoka kidogo kidogo ni ngumu kujua kuwa tayari yote yameshatoka au bado.Kwa mtizamo wangu naona bado kuna majina mengine kutangazwa.Hasa walioapply moja kwa moja wizarani.Asanteni
 
Mkuu walio omba ngazi ya cheti wamechaguliwa stashahada elimu ya awali.
 
Nilikuwa naangalia yale majina dalili zinaonesha yale ndo majibu yenyewe na cdhani kama kuna majina mengine tena.cha msingi wanasema mwisho Div 3
 
acha kudanganyana watu wana two na wameachwa pia jrb kupitia matangazo vzr na hujasoma vzr pole
 
Mvumilivu ula mbivu wazee xixi tumekaa kimya watu wanajifanya wanajua kumbe ovyo amna kitu, mnataka kutuambia wengine tuna angalia vibaya matangazo ongeeni kitu mnacho kuwa na uakika nacho POST NGAZI YA CHETI zitatoka na umu ndani mtafunga midomo tu
 
kwenye masomo ukiandikiwa hivi "elimu ya awali" wanamaanisha nini wakuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom