Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
e mungu wangu icant talk about education sector for tanzania country now is remain like a business no money no employment no ,education , ,nilinde siwezi kuongea maana mimi nimetuma sijaona hata herufi yangu,, na humu jukwaani kama una undugu na kawambwa ndio tuambie hayo mambo lakini kama hauna sitill silence like me ,over
 
Jamani ambae anajua ualimu wa awali ni ngazi ipi anisaidie

Jamani fanyeni msaada kuangalizia mtu jina kwenye stashahada ya elimu ya awali, ameangalia pote bado hapo tu ameshindwa kufungua mtandao unasumbua
jina; MUHIDINI S MAKUKULI
 
Nipo chuo cha ualimu CHALINZE mwaka wa pili. Aliyeko katika chuo cha ualimu au anayetaka kujiunga tuwasiliane kupitia +255756628596. KARIBU SANA CHUO CHA UALIMU CHALINZE UWE MWALIMU BORA.
 
ukweli kuhusu post za ualimu nikwamba hizo zilizotoka nikutoka baraza(nacte) kwa walioomba uko kwan ht matangazo yao yalikuwa tofauti na ya wizarani hvyo basi kwa walioomba wizarani post zao zitatoka muda si mrefu.mf wizaran walitoa tangazo la mafunzo maalumu kwa kidato cha nne miaka 3 kwa waliosoma sayansi,hisabati na english yaan half combination ila nacte hawakutoa stashahada juu nacte wamechagua form six .half combination hawakutoa(advance na ualimu) pia certificate hvyo kuwen na imani wizara watatoa majina tu.
 
ukweli kuhusu post za
ualimu nikwamba hizo zilizotoka nikutoka baraza(nacte) kwa walioomba uko
kwan ht matangazo yao yalikuwa tofauti na ya wizarani hvyo basi kwa
walioomba wizarani post zao zitatoka muda si mrefu.mf wizaran walitoa
tangazo la mafunzo maalumu kwa kidato cha nne miaka 3 kwa waliosoma
sayansi,hisabati na english yaan half combination ila nacte hawakutoa
stashahada juu nacte wamechagua form six .half combination
hawakutoa(advance na ualimu) pia certificate hvyo kuwen na imani wizara
watatoa majina tu.

Mbona kuna walio apply wizaran na majina yao yametoka
 
kwaiyo walioomba nacte kwa njia ya cas na ktk selection hawapo inamaana wamekosa?
 
Na wewe jiulize kwa nini matangazo yao kati ya nacte na wizara vinatofautiana na nacte kwa nn hawakutoa post za kozi zilizotangazwa na wizara??????
 
ukweli kuhusu post za ualimu nikwamba hizo zilizotoka nikutoka baraza(nacte) kwa walioomba uko kwan ht matangazo yao yalikuwa tofauti na ya wizarani hvyo basi kwa walioomba wizarani post zao zitatoka muda si mrefu.mf wizaran walitoa tangazo la mafunzo maalumu kwa kidato cha nne miaka 3 kwa waliosoma sayansi,hisabati na english yaan half combination ila nacte hawakutoa stashahada juu nacte wamechagua form six .half combination hawakutoa(advance na ualimu) pia certificate hvyo kuwen na imani wizara watatoa majina tu.

Una hakili baba gombea ubunge tutakupa, mi npo pamoja na wewe 100% achana na mamwinyi wa humu wanakatisha watu tamaaa. mi na PCM yangu ya division two nimekosa post daa hayo ya nacte, ya wizarani bado
 
majina yalotoka ni ya nacte, ya wizarani bado. aloombaga wizari mwezi wa tano kama amechaguliwa atuambie
 
wale tuliobahatika kimtende patandi special education kuripoti lini? majibu tafadhali !
 
Una hakili baba gombea ubunge tutakupa, mi npo pamoja na wewe 100% achana na mamwinyi wa humu wanakatisha watu tamaaa. mi na PCM yangu ya division two nimekosa post daa hayo ya nacte, ya wizarani bado

BIG RESULTS katika ubora wake
 
ukweli kuhusu post za ualimu nikwamba hizo zilizotoka nikutoka baraza(nacte) kwa walioomba uko kwan ht matangazo yao yalikuwa tofauti na ya wizarani hvyo basi kwa walioomba wizarani post zao zitatoka muda si mrefu.mf wizaran walitoa tangazo la mafunzo maalumu kwa kidato cha nne miaka 3 kwa waliosoma sayansi,hisabati na english yaan half combination ila nacte hawakutoa stashahada juu nacte wamechagua form six .half combination hawakutoa(advance na ualimu) pia certificate hvyo kuwen na imani wizara watatoa majina tu.

Usipotoshe au kutoa matumaini kwa kitu ambacho hakipo, majina yaliyotoka ni kwa walioomba wizarani, na kama jina la mtu halipo basi ndiyo amekosa nafasi, na hii inawachanganya sana watu kwa kuwa wamefuta grade A na kuanzisha diploma ya elimu ya awali na msingi na pia wameanzisha diploma ya juu kwa ualimu wa sekondari, wale walioomba kupitia mtandao majina yanatarajiwa kutoka kuanzia kesho, kwa ufafanuzi zaidi tembelea facebook page ya nacte.
 
wewe pole sana mi nimefuatilia na ninaevidence zote labda nikuulize je nacte ilitangaza nafasi za grade A na mafunzo maalumu (half combination) kwa form four na je wizara ilitoa tangazo la masomo maalumu yaan ODPE ???? kwa ufupi kilichofanyika hv vtu viwili viligawana majukumu yaan baraza la elimu ya ufundi(nacte)na wizara ya elimu na mafunzo ya ufund. fuatilia mambo mengi nenda mikoan ofisi za taaluma utapata jibu pia matangazo ya kozi walizotangaza pande mbili utaona mwenyewe.
 
Mambo nafahamu yako juu chini ila ktk tangazo la wizara linalohusu half combination walisema majibu yatatolewa ktk tovuti za www.moe.go.tz , www.nacte.go.tz pamoja na www.pmoralg.go.tz

kuna jamaangu aliomba wizaran kwa half combination na amepata elimu ya awali .Ndo maana naamini hakuna mapya yatakayotokea.
Take care!
 
serikali haitaki kumuacha ntu mtaani mwenye sifa uyo labda hakuwa na sifa za uko wakaona nibora asikose kabisa na je unahc wizara kutoa tangazo walikuwa hawajapanga kwa mawazo yako unahc hawatatoa hzo post????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom